John 21:25

25 aLakini kuna mambo mengine mengi ambayo Isa alifanya. Kama yote yangeliandikwa, nadhani hata ulimwengu wote usingekuwa na nafasi ya kutosha kuweka vitabu vyote ambavyo vingeandikwa. Amen.
Copyright information for SwhKC